Tuesday, October 13, 2015

Kutumia dawa za kulevya imekuwa fashion,Cassper Nyovest kasema haya kuhusu Drugs.

Rapa kutoka Afrika kusini Cassper Nyovest
amesema hajawahi kutumia dawa za kulevya
za aina yeyote na hana mpango huo,
anachofanya ni kujaribu kuonyesha kizazi
kimpya unaweza ukawa POWA bila mambo
hayo.

Kupitia instagram yake Cassper anasema

“proudly drug free “I’ve never touched drugs
but I have touched people with my story. I
don’t do drugs, I do sold out shows.”

Hivi karibuni Aka ame mdiss Cassper kuwa
ameongeza ulizi baada ya kuwa na beef na
yeye.

Total Pageviews